Saturday, July 18, 2015

MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA KUSINI MASHARIKI KHALIFA KONDO MPONDA ACHUKUA FOMU

Engineer Hamis Ahmad Ndwata akimlipia Khalifa Kondo shs 100,000 ya ada ya fomu kwa wagombea ubunge.
Katibu wa CCM wilaya ya Morogoro Vijijini Muheshimiwa Shahibu Mtawa akihesabu hela za fomu ya mgombea Khalifa Kondo
Mgombea ubunge wa jimbo la Kusini Mashariki bwana Khalifa Kondo akikabidhiwa fomu na katibu wa wilaya ya Morogoro Vijijini muheshimiwa Shaibu Ally Mtawa

3 comments:

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake