Sunday, July 19, 2015

MZEE YUSUF AZIKONGA NYOYO ZA MASHABIKI SIKUKUU YA EID MOSI, DAR LIVE

Mzee Yusuf akizikonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya Ukumbi wa Dar Live katika Sikukuu ya Eid Mosi.
Mfalme Mzee Yusuf akipelekeshana puta na wanenguaji wake wakati wa shoo hiyo ndani ya Dar Live.
Mfalme Mzee Yusuf na malikia wake, Leila Rashid wakinogeshana jukwaani.
Mfalme Mzee Yusuf akifanya yake kwenye kinanda.
Fatma Kassim akiwapa raha mashabiki wa Dar Live.

(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake