Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akipokea zawadi ya ungo kutoka kwa mwakilishi wa wasuka ungo wa bundali.
Naibu waziri wa Viwanda na biashara na mgombea ubunge wa jimbo laileje mkoani Songwe, Janet Mbene akisalimiana na vijana waliotokeakumlaki katika kata ya isoko walayani hapo.
Naibu waziri waviawnada na biashara na mgombea ubunge katika jimbo ileje mkoa wa Songwe,Janet Mbene akitembea huku mamamia ya watu wkimfuta nyuma mara baada ya kumalizika kwa mkutano wake na
wajumbe wa halmashauri wa kata ya isoko kuomba wamachague katika uchaguzi wa kura za maoni za CCM. Picha na Humphrey Shao.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake