Salamu za Eid Mubarah kutoka kwa mdau wa Vijimambo Salum Jongo wa Magati Pharmacy Kijitonyama Dar-Es-Salaam.
Hapa Salum Jongo kulia akipata ukodak pamoja na maustadh wenzie baada ya sala ya Eid. mbele ya Mosque Al Noor Upanga Dar-Es-Salaam.
Salum akipata ukodak wa kumbukumbu nje ya Al Noor Mosque Upanga baada ya sala ya Eid.



MASHALLAH UMMATI MUHAMMAD HUO.WATAKUKOMENI NA WANAKUSOMENI NUMBER KILA LEO.MASHALLAH.EID MUBARRAK.ALLAH AKUJALIYENI USHIKAMANO NA UPENDO NA KILA LA KHEIR AMEN THUMA AMEEN.
ReplyDelete