Saturday, July 18, 2015

SHEREHE ZA EID UL-FITR NEW YORK SATURDAY JULY 18 KUANZIA SAA NANE MCHANA -(2:00 PM)


Waumini wa dini ya kiislam New York wanawaalika Watanzania waishio
maeneo ya New York na vitongoji vyake kuhudhuria tafrija iliyoandaliwa
kwa ajili ya kuadhimisha kukamilika kwa mfungo wa Mwezi mtukufu wa
Ramadhan.
Tunaombwa kufika kwa wakati  kuanzia saa nane mchana leo hii,  ili tuweze kujipanga na kuwapa watoto wetu
muda wa kutosha wa kusherehekea siku hii adhimu.Tunaomba ushirikiano
wa kila mmoja wetu ili tufanikishe Sherehe yetu.

EID MUBAKAH

VENUE:PACIFIC HALL
3038 Atlantic Av.
Brooklyn,NY,11208
Between Essex/Shepherd.

Shukran.

1 comment:

  1. Asante kwa mwaliko. Tunaomba time ya kufika.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake