Saturday, July 18, 2015

WATANZANIA TOKYO JAPAN WASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid iliyofanyika siku ya Jumamosi July 18, 2015
 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid. Picha na Mariam, Mwakilishi wa Vijimambo Japan.
 Mariam kulia akipata ukodak moment na mwenzie.
Watanzania wa Japan wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya Eid Mosi
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake