Saturday, August 22, 2015

BREAKING NEWS: ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA ZAMANI MH. FREDERICK SUMAYE AJIUNGA RASMI NA UKAWA

Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye akiongea na wanahabari jijini Dar kueleea kuihama CCM na kujiunga na UKAWA kulia ni viongozi wa UKAWA

Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na mwanachama wa CCM, Mh Frederick Sumaye amejiunga  na UKAWA leo. Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar amesema ameamua kuondoka CCM kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yaliyofanyika wakati wa kumteua Rais atayeikiwakilisha chama cha Mapinduzi (CCM) 

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

14 comments:

  1. CCM mwaka huu lazima wanyooke

    ReplyDelete
  2. Na bado watahama wote
    Mungu mkubwa

    ReplyDelete
  3. wewe anon wa mwanzo (8:51 am) utamjua Frederick Sumaye mara atakapoingia kwenye majukwaa ya ukawa! Amesomea nchi yenye demokrasia halisi (at least 99% democratic)! sasa wewe kwa namna unavyojuwa unauliza sumaye nani? huwezi kuzuia wimbi hili baba. ccm ina ukoma, na cancer. ndio maana viungo vyenye afya njema vinajitoa kabla havijaambukizwa zaidi! ccm mtakiona mwaka huu! Mungu ibariki ukawa, Mungu ibariki chadema, nccr, cuf na TLD

    ReplyDelete
  4. Sumaye alikua bench long time kitambo best waka CCM hawa nyooki Sumaye hana deal CCM aende tu kifua mbele ila wembe ni uleule lazima tuwabureze UKAWA mambo yote October 26 kama hutaki kalambe ndimu magufuli anakandamiza mwana waneee ee katoka kwenye chama imara na hana kashfa,,,,, upoooo ukawaaaaaa.

    ReplyDelete
  5. Haaas Ukawa ndio mtanyo okaa mwaka huu kwa kupokea makapi mkidai eti hata makapi yanatengeneza umeme mmevurugwaaaa ukawa muombeni radhi Dr Slaaaa.

    ReplyDelete
  6. Kumbe inawauma ccm
    Wetu wakubwa wakiwakimbia tens mngenyamza kwani wanajuwa Mengi ya serikali yenu ya ccm
    Wakiyaweka hadharani mtaumbuka
    Najua sasa mnashinda kwa wanganga
    Kama jadi yenu

    ReplyDelete
  7. NO DISRESPECT BUT WHEN YOU READ THESE COMMENTS, THEY ALL SHOWS HOW POOR MINDED AND SHALOW THE WRITERS ARE. THE ISSUE IS NOT KUSHABIKIA NANI KAHAMA WHERE RATHER TALK ABOUT SUBSTANCE AND WHAT WILL THE SWITCH IMPACT THE GAME.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Man, you'd rather write in a language you can articulate and present your views more clearly!

      Delete
  8. MTAPIGA kelele bongo mpaka watu wafanye coupe de etat ndiyo true democracy itazaliwa.

    ReplyDelete
  9. karibu mashati ya kijani yata shuka bei mtumbani wateja sio wengi tena,tutafaidika sisi tusio chagua rangi kivazi kusitiri mwili tu sio wapenzi wa chama chochote.

    ReplyDelete
  10. Mshangao wa mtu wakwanza,nikwamba hakuamini kilichotokea. Jaribu kuelewa alikuwa na maana gani
    Mimi ninaona serikali ya mseto. Bila hawa watu (wakongwe) ccm haiwezi kuondoka. Huvyo hawa watu nimuhimu.

    ReplyDelete
  11. Bila kuweka ushabiki wa vyama niseme kuwa ,katika jambo linalo wacost na litaendelea kuwacost CCM,whether watashinda uchaguzi huu au laa ni UNAFIKI na LEADERSHIP SUPREMACY (uongozi wa kifalme).CCM had it all,lkn chama kimeghubikwa na tabia ya unafiki miongoni mwa wanachama,hata pale inakuwa dhahiri mtu amevunja miiko ya chama au kiongozi kashindwa kutekeleza majukumu yake hakuna kuambiana ukweli. Vilex2 huu uongozi wa kifalme wa kuufanya uongozi wa juu kuwa na nguvu za kupitiliza na kufanya kuwa hakuna anaeweza kuunyoshea kidole haufai.Mwisho kabisa ni MAKUNDI.uwa makundi ndani ya chama la sivyo,makundi yatakiuwa chama Over...

    ReplyDelete
  12. Nyie UKAWA,mwajua kuchonga ila kudeliver,zero kama mlivyompokea Mr. Ziro wenu,Sumaye.Ikifika October 31 baada ya CCM kuchukua nchi,sijui mtatokea wapi kuchonga midomo yenu. Wote mnaowachukua ni wasaka matumbo yao tu....hawana jipya

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake