Wednesday, August 12, 2015

DOA LA LOWASA HALITOKI



Kilicho mfanya Dr Slaa ashindwe Kumuunga Mkono Lowasa ni kua hakutarajia Nyoka ambae alimtangaza kua ni Adui Mkubwa na Muharibifu kama Atamuingilia Nyumbani kwake na Kumtoa Nje na Nyoka huyo Adui alokua akimtangaza Tanzania Nzima kubakia Nyumbani kwake.
Kabakia sasa hana tena Thamani yoyote kwa Chadema wala Ukawa ila Zawadi anayo ipata ni Matusi ,kweli waswahili wamesema Fadhila za Pumnda ni Mateke na Mashuzi.

8 comments:

  1. CCM mtasema sana
    Semeni ya mzigo wa Zurich
    Kumbe Lowassa tishio kwenu
    Na ana Siri kibao suburini

    ReplyDelete
  2. Doa la CCM linatoka miaka 50

    ReplyDelete
  3. CCM tafuteni sera. Rudisheni imani kwa wananchi kwa kueleza kwa uhakika ni nini mtafanya cha tofauti kipindi hiki katika kulijenga taifa. Sera ya ufisadi haitusaidii sasa hivi. Hii sio habari tena. Tumechoka kusikia ubaya wa Lowassa tunataka kujua mtaboresha vipi maisha ya mtanzania.

    ReplyDelete
  4. siri? nawe umepata kichaa kama akina Mbowe? Nani alimwita Fisadi kama siyo nyie wenyewe? Mnamtetea nini basi? Nawe ulipata vijisenti katika zile Bilioni 12 alizowahonga viongozi wa Ukawa majuzi ili mumpe Tiketi ya kugombea? Shame on you Ukawa, to be bribed that easily? By the way, there is a difference between you and the real voters. Wewe ni shabiki wa Lowasa na Ukawa, but the real voters are the the CCM majority mdau, na hao majority wapo mikoani ambako mizizi ya CCM haiwezi kung'oka. Mdau, kama upo Dar unaweza kuendelea pamoja na maelfu ya walahoi, kumpigia debe Lowasa, lakini huo mdundo hausikiki kwa Wakulima na Wafugaji mikoani.

    ReplyDelete
  5. Anomy#4
    Huna Tija wewe ughaibuni since 1980 naishi Mimi si mlalahoi
    Najuwa ninichokisema
    Imewauma sana Lowassa kuja Ukawa
    Mlizoea kufukuza watu wakabaki CCM
    Kama mlivyofanya kwa mzee jumble
    Mwaka mlie na wiki wenu wa kura
    Inashangaza eti mtu kusutwa na kadi za kupiga kura Zaidi ya moja kwani kadi zina alama za vidole

    Mwaka huu CCM mtakoma

    ReplyDelete
  6. Mtasema sana
    Mbona mpka Leo hamsemi meno ya tembo ya Zurich yalikuwa ya Nani mmeyavaliya njuga ya Lowassa
    Maajizo yote yalitoka kwa JK mbona hakanushi

    ReplyDelete
  7. Wenyeviti wote wa mikoa na wilaya watahama CCM suburini

    ReplyDelete
  8. KWA NINI MIHURI FEKI YA WIZARANI INA TUMIKA KUTENGENEZA BARUA FEKI NA WIZARA HAIFUETILII ? HIZI BARUA ZIKO ZA AINA 10 TOFAUTI KWENYE MITANDAO NA HARD COPIES TOFAUTI ZIME ZAGAA KUPITA KIASI.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake