Thursday, August 13, 2015

KARAFUU ZA MAGENDO ZAKAMATWA MTAMBWE

Afisa mdhamini wa ZSTC Pemba Bw Abdulla Ali Ussi akitoa maelezo baada Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo zilikuwa katika harakati ya kutaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo., Anaemsikiliza ni Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija,
Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija, akionesha Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo zilikuwa katika harakati ya kutaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo.

Picha na Nasra Khatib -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake