sasa mkuu pamoja na exposure yote hiyo ya majuu bado unatumia jembe la mkono???? tutafika kweli??? ndiyo maana lowasa anasema inabidi tubadili our way of thinking amasivyo mashine zinalala na watu pia wanalala...
Nyie vipi? Mheshimiwa Rais anataka kupunguza kitambi, sasa kosa?. Kila tukio basi liwe ni match? Guys, relax mtatokwa na tezi dume bure na mihasira mlioynayo.
Msiwe mbururalaz kama huna cha ku coment biga kimya huyo Lowasa atawapelekea ma trekta kila mtu kijijini kwake kubwa zima unadanganyika na propoganda za wana siasa .Big up mkubwa mtu haacchi asili take hata aje Raisi wa aina gani bongo kuwa na high way ni kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano na hata huyo kowasa wenu hawezi kuondoa umaskini kwa watanzania wote ndio maana watu wana matabaka na hata vidole havitolingana kamwe.
MKUBWA SLOGANI NI NZURI KUWA KILIMO KWANZA, LAKINI KWELI TUTAFIKA KAMA KARNE HII BADO UNAFIRIKIA KUTUMIA JEMBE LA MKONO NA SIME,EXPOSURE YAKO IKO WAPI MKUU ,JE UMEJIFUNZA NINI KWA KUKAA KWAKO UGHAIBUNI NA ELIMU ULIYOPATA?JAPO BASI HATA UNGE-INDORSE MECHANISED AGRICULTURE(AGRO-MECHANICS) NAFKIRI UNGEWASAIDIA WALE WENZETU VIJIJINI WAOTUMIA BADO JEMBE LA MKONO.
WE MDAU UNAYESEMA RAIS ANAPUNGUZA KITAMBI....IVI KWELI INAINGIA AKILINI KITAMBI KUKIPUNGUZIA BONGO WAKATI UKU GYM AMEZEACHA KIBAO...KAMA KWELI NI KUPUNGUZA KITAMBI NAFIKIRI ANGEPUNGUZIA UKU MAREKANI, GYM ZIPO ZA KUMWAGA TU. RAIS SANDARLY ULIKOSA ATA PLAU LA KUSUKUMWA NA NGOMBE AU PUNDA KAMA TREKITA HAUKUWEZA KULIMUDU.MANAKE ICHO KILIMO CHA KISASA UNACHOTAKIWA UKIIMIZE MODERN AGRICULTURE.
sasa mkuu pamoja na exposure yote hiyo ya majuu bado unatumia jembe la mkono???? tutafika kweli??? ndiyo maana lowasa anasema inabidi tubadili our way of thinking amasivyo mashine zinalala na watu pia wanalala...
ReplyDeletenawasilisha tu...
Ni aibu utakaa majuu halafu bado una endorse kilimo cha Jembe la mkono.
ReplyDeleteHomgera Rais
ReplyDeleteNyie vipi? Mheshimiwa Rais anataka kupunguza kitambi, sasa kosa?. Kila tukio basi liwe ni match? Guys, relax mtatokwa na tezi dume bure na mihasira mlioynayo.
ReplyDeleteMsiwe mbururalaz kama huna cha ku coment biga kimya huyo Lowasa atawapelekea ma trekta kila mtu kijijini kwake kubwa zima unadanganyika na propoganda za wana siasa .Big up mkubwa mtu haacchi asili take hata aje Raisi wa aina gani bongo kuwa na high way ni kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano na hata huyo kowasa wenu hawezi kuondoa umaskini kwa watanzania wote ndio maana watu wana matabaka na hata vidole havitolingana kamwe.
ReplyDeleteMKUBWA SLOGANI NI NZURI KUWA KILIMO KWANZA, LAKINI KWELI TUTAFIKA KAMA KARNE HII BADO UNAFIRIKIA KUTUMIA JEMBE LA MKONO NA SIME,EXPOSURE YAKO IKO WAPI MKUU ,JE UMEJIFUNZA NINI KWA KUKAA KWAKO UGHAIBUNI NA ELIMU ULIYOPATA?JAPO BASI HATA UNGE-INDORSE MECHANISED AGRICULTURE(AGRO-MECHANICS) NAFKIRI UNGEWASAIDIA WALE WENZETU VIJIJINI WAOTUMIA BADO JEMBE LA MKONO.
ReplyDeleteMDAU-ALASKA
WE MDAU UNAYESEMA RAIS ANAPUNGUZA KITAMBI....IVI KWELI INAINGIA AKILINI KITAMBI KUKIPUNGUZIA BONGO WAKATI UKU GYM AMEZEACHA KIBAO...KAMA KWELI NI KUPUNGUZA KITAMBI NAFIKIRI ANGEPUNGUZIA UKU MAREKANI, GYM ZIPO ZA KUMWAGA TU. RAIS SANDARLY ULIKOSA ATA PLAU LA KUSUKUMWA NA NGOMBE AU PUNDA KAMA TREKITA HAUKUWEZA KULIMUDU.MANAKE ICHO KILIMO CHA KISASA UNACHOTAKIWA UKIIMIZE MODERN AGRICULTURE.
ReplyDeleteHa ha ha ha aaaaa! Mkuu niletee mihogo ukirudi. Iseeee!
ReplyDeleteHilo Pozi tu...
ReplyDelete