![]() |
| Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma,Bw.Hab Mkwizu akifungua Kongamano la kwanza la Serikali Mtandao jijini Arusha leo. |
![]() |
| Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha(RAS)Addoh Mapunda akizungumza kwenye ufunguzi. |
![]() |
| Picha ya pamoja |
![]() |
| Wajumbe wakifatilia mada kwa makini. |
![]() |
| Wajumbe kutoka taasisi mbalimbali za serikali wakiwa kwenye kongamano hilo. |






No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake