Sunday, August 16, 2015

KU RECORD KIJIWE CHA UGHAIBUNI NEW YORK SASA HAKITAFANYIKA TENA AUGUST 23, 2015 MPAKA HAPO ITAKAPOTANGAZWA TENA


Wadau wa Diaspora tunaomba radhi kutokana na sababu zilizonje ya uwezo wetu ku-rekodi kijiwe siku ya Jumapili Aug 23, 2015 hakutakuwepo mpaka hapo tutakapotoa taarifa nyingine poleni kwa usumbufu wowote utakaokua umetokea.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake