Sunday, August 16, 2015

MATUKIO MBALIMBALI MSAFARA WA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA NA UKAWA EDWARD LOWASA.


2 comments:

  1. Imekuwaje hzo picha hapo juu ? Picha zinarijea hizo kwa hizo ni makosa ya posting au ionekane ulikuwa msafara mkubwa? Anyway kizuri kinajiuza kibaya chajitembeza kukimbilia kuanza kampeni kabla ya wakati sio dawa kwani haikumasaidia alipokimbilia kuanza kampeni CCM na huko haitafanya kazi vilevile.. Moto wa mabua huo #¿**. Magufuli anatosha mafisadi wanini.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza acha jazba, ccm ilishawachosha watu hakuna mwenye akili timamu anayekitaka hicho chama kilichojaa mafisadi na wanyanyasaji ngojeeni uchaguzi

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake