Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar. akishindikizwa na Wanachama wa Chama chake cha ADC katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mwenyekiti
wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe Jecha Salum Jecha akimkabidhi
fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mgombea wa Chama cha ADC Mhe Hamad
Rashid Mohammed, hafla hiyo imefanyika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi
Zanzibar zilioko katika ukumbi wa salama bwawani hoteli Zanzibar.
Mhe
Hamad Rashid Mohammed akionesha Mkoba uliokuwa na Fomu za Urais wa
Zanzibar kwa Wanachama wake baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume
ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salum Jecha.
Mgombea
Urais wa ADC akitoka katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko
katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hoteli baada ya kukabidhiwa Fomu yake ya
kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu mwezi wa
Oktoba 2015.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe Salum Kassim Ali akizungumza machache kumtambulisha Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa Mwenyekiti wa Tume kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Urais wa Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe Jecha Salum Jecha akimsomea Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar Mgombea wa Urais wa Chama cha ADC Mhe Hamad Rashid Mohammed, alipofika Afisi za Tume Bwawani kuchukua Fomu.
Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed akiwa makini kufuatilia maelezo ya fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar wakati ikisomwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salum Jecha kabla ya kumkabidhi kujuwa yalioko katika fomu hiyo.
Wanachama wa ADC wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar akisoma Fomu ya kugombea Urais wakati wa hafla hiyo katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) Mhe Hamad Rashid Mohammed akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Afisi za Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani na kuzungumzia Sera za Chama chake kikipata ridhaa za Wananchi kuongoza Serikali. Kwa hisani ya ZanziNews
No comments:
Post a Comment