Tumaini
Kilangwa au da Tuma, yeye ni mama wa watoto wawili, mke, na
mfanyabiashara. katika mahojiano haya ambayo yote amerekodi na unaweza
sikiliza (audio), ameongelea mambo mabali mbali kuanzia alipotokea, maisha yake
ya elimu, maisha kama mama, maisha kama mke, na maisha kama
mfanyabiashara. Ni mahojiano mazuri sana ambayo yanafundisha na kutia
moyo kuwa hakuna lisilo wezekana kwa Mungu (kama unaamini kuna Mungu).
Tafadhali chukua muda wako umsikilize wala hutojutia kamwe!
Msikilize hapa
Good job! Love the interview!
ReplyDelete