Tuesday, August 11, 2015

MWIGULU NI MOTO WA KUOTEA MBALI,HUKO JIMBONI KWAKE AMETIKISA KURA ZA MAONI,WANANCHI WANAMUUNGA MKONO KINDAKINDAKI


2 comments:

  1. Hivi huyu Mwigulu si hapo Iramba kwa kuwauza wanyiramba. Nini alichoweza kuwaunganisha waTanzania. Fedha yabEscro akishirikiana na mkurugenzi wake aliyemwajiri mbona wamekaa kimya. Utabaki na wanyiramba lakininwaTanzania bado hawajakuelewa.

    ReplyDelete
  2. Kama siyo ukabila la nini!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake