Thursday, August 13, 2015

NHIF YATOA MAFUNZO KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHAGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA KIKOA

 Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii ya Tanzania, NHIF, Rehami Athumani, akifungua warsha hiyo kwa wanaMtandao wa Bloggers Tanzania (TBN)  leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam.
 MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF, na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Bloggers wakimsikiliza  Mkurugenzi wa huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, alipokuwa akiwasisilisha mada iliyohusu mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA kwenye warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam.
 
 Baadhi ya Bloggers wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye Warsha hiyo
 Wadau wakifuatilia jambo
 Bloggers wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye warsha hiyo 
  Baadhi ya Bloggers wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye Warsha hiyo
Blogger Mzee Kitime akichangia jambo katika semina hiyo ya iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam.
Blogger kutoka Bagamoyo akitoa shukrani kwa mfuko huo kutoa dalasa kwa Bloggers wa Tanzania

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake