Thursday, August 13, 2015

PICHA 5 ZA USHAHIDI KUWA MAGUFULI HAKAMATIKI HIZI HAPA ONA LIVE DODOMA HAPA!!




Dr Magufuli ndiyo habari ya mjini hii ni ndani ya Dodoma na kutoa ujumbe wakusema kuwa Wafanyakazi wazembe,Nitalala nao mbeleeeeee


16 comments:

  1. Hapo ni chama kimoja tu sio muunganiko wa chamaa jamani CCM Rahaaaaaa,,,

    ReplyDelete
  2. Glob hi Mali ya CCM
    Mbona mnamndakia Lowassa

    ReplyDelete
  3. Tusidanganyane swala sio Magufuli Pombe swala ni utawala dhalimu CCM na Viongozi wake wakuu. Tunaba radhi waTanzania wamechokaaah.. Kieleweke hivyo.

    ReplyDelete
  4. Hizo ni picha za Mwanza mara baada ya kupitishwa na ccm... Hahahha.

    ReplyDelete
  5. Polish wasitisha maandamano kwenye kutafuta wadhamini
    Magufuli alipita kote na misafara
    Lakini mnaona ya Lowassa ni mikubwa na Watu wa ngazi zote wapo
    Polisi Tanzania si ya CCM tutaandamana Kama alikopita Magufuli

    ReplyDelete
  6. mimi naona watoto tu wamejaa hapo,CCM mnasikitisha kweli.

    ReplyDelete
  7. mimi naona watoto ndio wamejaa hapo,CCM mnasikitisha kweli.

    ReplyDelete
  8. kweli UKAWA nuksi jamma imebidi waanze kampeni kabla ya wakati.

    ReplyDelete
  9. Jamani naomba kujuzwa! Mbona hawa watu kuanzia kwa askari mwenye kofia nyekundu wamegeuka upande mwengine, Na nyuma yake wamegeuka upande mwengine??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Waongo hao hiyo pic ni yazamani...dom hatumtaki huyo..hana mvuto pict yskutengeneza

      Delete
  10. Me naisho dodoma tuekezeni nisehem gani dom..hatumtaki huyo makufuli dodoma

    ReplyDelete
  11. wewe Admin kama sio hizi sharia za mitandaoni leo ningekuvunjia heshima, maana umechoka kujiheshimu, kwa kutuwekea habari na picha zisizo sahihi kama watoto wadogo,,wewe huo kama picha zote hizo zimekua edited, angalia background zake, upande mmoja unafanana upande mwengine haufanani,, angalia watu walivyoelekea kumsikiliza huyo makufuli,, wametofautiana muelekeo, na ubanie hii comment

    ReplyDelete
  12. Sasa huyu anasema sio hiyo dodoma ni mwanza. Mwengine anasema ash hao wote watoto? Mnaingia mchecheto hata bado

    ReplyDelete
  13. Utawala wa kidhalimu wa ccm mnafikiri watu watakuoneeni huruma na hizo kauli zenu za kipumbavu. Udhalimu waulize ndugu zetu wamarekani weusi jinsi kila kukicha vijana wanavyopetesha maisha yao kwenye mikono ya dola bila hatia halafu wao ndio wanaishia kuwa na makosa ya kubambikiwa . Halafu hizo ndizo serikali mnazozitolea mifano kwa utakatifu ulotukuka wa kidemokrasia poleni sana msiejua mnachokizungumza.

    ReplyDelete
  14. Ona wanavyotapatapa na bado mtanyooka tu chezee mafuriko ya lowasa, tumewachoka ondokeni hamna jipya

    ReplyDelete
  15. CCM kweli ndorobo wameunganisha unganisha picha mbili tofauti ili mradi tu watu waone mna watu hamuwezi kuzuia mafuriko ya Lowasa nyie

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake