Saturday, August 22, 2015

PICHA WAZIRI MKUU MSTAAFU ALIPOTANGAZA KUHAMA KUJIUNGA UKAWA MAPEMA LEO

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo mchana.
 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
 Sumaye akisisitiza jambo
Sumaye (wa tatu kulia), akiwa na viongozi wanaunda Umoja wa Katiba (UKAWA) baada ya kuondoka CCM na kujiunga na Chadema.

8 comments:

  1. Karibu ukawa
    Tunataka mabadiliko na maendeleo

    ReplyDelete
  2. Karibu ukawa sisi sote ndugu zako tunatoka sehemu moja.

    ReplyDelete
  3. hajajiunga na chadema amesema anajiunga ukawa, sasa na wewe luka ina maana audio uliiweka hukuisiliza. amesema hapo baadaye atatangaza ni chama gani atajiunga ila kwa sasa anajitoa ccm na kujiunga ukawa.

    ReplyDelete
  4. Karibu sana lowasa atakupa umakamu wa raisi ktk ikulu yake ya Hanang.

    ReplyDelete
  5. Ukiona hivi basi tukubali kuwa wale wanaotoka kwenye Gamba ndio waliokuwa na uchungu halisi wa kuibadili muundo mzima wa kiCCM wakiwa ndani humo! Lakini kwa kuwa walipuuzwa wale waliobora ni vyema kuyatafuta mabadiliko hayo wakiwa nje ya walaji CCM. Hata Rais JK amekubali kuwa nchi inatafunwa mchana kweupe na alitamka hilo pale DODOMA sasa leo iweje wakitoka mnawaita OIL CHAFU!! Kauli kama hizi zinatuulia chama chetu kabisa. Mchawi wetu ni sisi wenyewe.!!!

    ReplyDelete
  6. Watu wa kweli wanaotaka mabadiliko ndio wanaohamia UKAWA. I voted upinzani kwa mara ya kwanza 1995 na ndiyo mara yangu ya kwanza kupiga kura. I was a high schooler then. Nilionekana msaliti na familia yangu hawakunipenda. Today, familia yangu na jamaa zangu wote wameniamini kuwa sikuwa mjinga. Na wote wako tayari kuwapigia upinzani kura in October 25. May God Bless Tanzania.

    ReplyDelete
  7. Frederick T. Sumaye
    Njoo ukawa, tuwasidane tusukume gurudumu la mabadiluko

    ReplyDelete
  8. KWA HIZI SURA SIONI ATA MTU MMOJA WA KUINGIA IKULU LOWASA ANAONEKANA MGONJWA KABISA NA WENGINE UKI WAANGALIA TUU UNAJUA WANATUPOTEZEA MUDA UKWELI NDIO SURA ZAO ZENYEWE ZINAONEKA AWAJIAMINI USIKU MWEMA SIJATUKANA MTU LAKINI .

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake