ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 12, 2015

Rais Kikwete Aongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu Dodoma

.Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi Vuai Nahodha wakijadiliana jambo muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu Mwenyekiti Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakipiga makofi pamoja na wajumbe wengine muda mfupi baada ya kuingia katika ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma tayari kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM leo jioni.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt.John Pombe Magufuli wakiteta muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM mjini Dodoma leo(picha na Freddy Maro).

13 comments:

Anonymous said...

Anzani kumfundisha kuongea Aache kukurupuka na kuropoka Kama mnauye
Hafai Kuwait rais huyu
Anafaa kuwa waziri tu

Anonymous said...

Ukiingia , wapige tu, tu endeleeeni kuchota lol!!!!

Anonymous said...

Naichukia CCM kam hitler

Anonymous said...

Anony.#3, wewe ni mwenda wazimu, unahitaji tiba ya akili, and I mean it. Do you know who Hitler was? Acha kuropokaropoka kama umelewa chipuku. Kama hukuenda shule na kupata Elimu, basi usionyeshe ujinga wako katika mitandao. Dj Luke, it is disgraceful to allow such low-minded, and insane folks like anony. #3 to submit commentaries with very poor choice of words. He/she doesn't understand the scars inflicted by hitler, the world over.

Anonymous said...

Anony #4
Shule nimekwenda tena awamu ya kwanza manzese za mzee Msekwa nipo ughaibuni tangu 1980 na huku nimesoma
Imekuuma Sana na bado

Anonymous said...

Lakini anoy#3 Katowice mfano hajasema CCM ni Hitler
Amesema anaichukia CCM Kama hitler kosa like wapi ?
Angesema anaipenda CCM Kama mungu
CCM in chama tu Kama vingine si mungu CCM
Hata Obama hufananishwa na hitler sembuse kijiCCM

Anonymous said...

Anony#: acha watu watoe mawazo ya kwa uhuru kabisa. Kwani wewe unapomwuliza kama anajua Hitler alikuwa nani, je wewe unamjua au labda ulimsoma kwenye vitatu vya historia au movies au documentaries za Nazis. Huna uhuru wa kumsemea mwenzako unless utuambie kama hitler alikuwa kakako, babako au mumeo

Anonymous said...

huyu anajifanya kasoma ujasoma lolote chukua chako mapema tu

Anonymous said...

Anony #3 , ikiwa kweli kama ulivyojinasibu kwamba upouhaibuni tangu miaka ya miaka ya thamanini 80s na hiyo comment ya hitler basi nakubaliana na mdau wa anony # 4 kwamba wewe ni mwehu usie jitambua. Tunafahamu kuwa kichaa au shoga katika nchi hizi wasizokuwa na culture au yote mawili kwa pamoja ni vitu rahisi sana. Kwa nilivyoyafahamu maoni yako ni kwamba kwako wewe CCM na Hitler hakuna tofauti hilo jambo kubwa na hatari kulitamka hasa katika nchi za huku ambako hata alama ya Hitler ni haramu kuonekana . Kwa hivyo ushijeukashangaa tutakapokuja tukikutaka ututolee maelezo zaidi juu ya kauli yako hii and this no joke.

Anonymous said...

msitishe watu bwana tena huku majuu ndo kabisa hamuwezi kuwatisha tisha kifala fala watu.wee anonymous wa mwisho acha zako hizi nenda mkatishane na wenzako mtisho wa nyau nyau wa buku saba lumumba.

mdau wa tatu nakupa kumi mwanangu una uhuru wa kujielezea unacho hisi usitisike bure.wewe ndo kidume cha mbegu tunahitaji vidume vya mbegu kama wewe si rege rege na kukatishwa viuno kwenye majukwaaa.

big up my manm big up.kula kumi mwanangu.big up.

Anonymous said...

KWA NINI MIHURI FEKI YA WIZARANI INA TUMIKA KUTENGENEZA BARUA FEKI NA WIZARA HAIFUATILII ? HIZI BARUA KUHUSU RICHMOND ZIKO ZA AINA 10 TOFAUTI KWENYE MITANDAO NA HARD COPIES TOFAUTI ZIME ZAGAA KUPITA KIASI.

Amoy
Unategemea nini Kama rais kila kukicha kupewa PhD feki kila kona ya dunia
Kwa kipi alichofanya
Kama kweli mtendaji mzuri angepeta Nobel price
Obama alipata only ktk kipindi cha mwanzo
Hata Malala she more famous than CCM

Anonymous said...

Anonymous Anonymous said...
Anony #3 , ikiwa kweli kama ulivyojinasibu kwamba upouhaibuni tangu miaka ya miaka ya thamanini 80s na hiyo comment ya hitler basi nakubaliana na mdau wa anony # 4 kwamba wewe ni mwehu usie jitambua. Tunafahamu kuwa kichaa au shoga katika nchi hizi wasizokuwa na culture au yote mawili kwa pamoja ni vitu rahisi sana. Kwa nilivyoyafahamu maoni yako ni kwamba kwako wewe CCM na Hitler hakuna tofauti hilo jambo kubwa na hatari kulitamka hasa katika nchi za huku ambako hata alama ya Hitler ni haramu kuonekana . Kwa hivyo ushijeukashangaa tutakapokuja tukikutaka ututolee maelezo zaidi juu ya kauli yako hii and this no joke.

August 13, 2015 at 2:22 PM
Usitukane watu wewe
Kama ushoga na msago upo CCM
Tunawajuwa wote wameanzia kichwani hadi mguuni