Kwa taarifa za mwanzo zunasena kuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na watu wasiojulikana na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Chanzo: Aloyce Nyanda wa Radio Sengerema
Chanzo: Aloyce Nyanda wa Radio Sengerema
Pole sana
ReplyDeleteVijimambo naona mu watu wa ccm kwani kila mabaya ya ukawa huyaanika kwani ukawa hawana mazuri jamani?
Wekeni habari ya meno ya tembo Zurich tuchangie
Huo ni uongo. Ni mbinu kutaka kuonewa huruma na wapiga kura. Si mara ya kwanza kwa vituko kama hivi kutokea. Ilishatokea Kenya. Hiyo ni self arranged kidnapping. Mpe siku mbili tatu ataibuka.
ReplyDeleteCcm mtawajibika uyo Mbunge asipo onekana ndio mtatujua vizuri watanzania
ReplyDelete