ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 21, 2015

CHAGUA MBUNGE WILLIAM MUNGAI

1 comment:

masika said...

Tutatoboa kweli kwa jembe cossato chumi...Mimi ni chadema damu lakini huyu mgombea ccm anakubalika huyu jamaa ni mtu wa watu ametoa misaada mingi sana toka kwa wanaichi wa mafinga mjini mpaka vijijini . Ni mtu wa watu na anamoyo wa maendeleo. Inabidi tujipange ukawa