Polepole nikuulize kuna matajiri wangapi hapa TanzNia. Je mafisadi waliokwapua ESCROW umewaweka mfukoni mwako!! Hilo swala la usafi ndani ya CCM wako wachafu wengi mno tusidanganyane. Uadilifu na uwajibikaji umeusema na tatizo sio hao wawilinunaowazungumzia tatizo kubwa hapa ni chama kinachotawala tu.!
Uadilifu huanzia kwa taabia ya mtu binafsi (personal / individual ethics ).mfumo unafanya ku falicitate zoezi hilo.Lowasa hana uadilifu as an individual, ni ndoto kufikiria ataweka mfumo utakao simamia maadili mema.
Kwa kweli huyu kijana polepole nilikuwa namsikia tu nimemuona hapa nimemkubali ni kijana smart hasa. Nafikri huyo mchungaji amejuta kwanini amemualika kwenye debate . Katika kipindi chote cha hii debate polepole ameonesha nidhamu ya hali ya juu amekaa kimya na kamsikiliza mpinzani wake kwa utulivu bila ya kumkatiza binafsi nimekerwa na huyo mchungaji kujaribu kumziba mdomo polepole ili asimalizie hoja zake inaonesha kabisa huyo mchungaji ameshindwa kabisa kihoja na ndugu polepole. Kwa kweli kijana kama polepole ni watu wa kuenziwa kabisa ni miongoni mwa vijana wanaoweza kuja kulisaidia taifa kiuongozi nathubutu kusema polepole ni hazina ya taifa one of the pure brilliant political rising star in our nation. Mchungaji msigwa umeshindwa kwa hoja na kiasi fulani umetusababishia kichefu Chefu tuliokuwa tunakuangalia.
Polepole nikuulize kuna matajiri wangapi hapa TanzNia. Je mafisadi waliokwapua ESCROW umewaweka mfukoni mwako!! Hilo swala la usafi ndani ya CCM wako wachafu wengi mno tusidanganyane. Uadilifu na uwajibikaji umeusema na tatizo sio hao wawilinunaowazungumzia tatizo kubwa hapa ni chama kinachotawala tu.!
ReplyDeleteUadilifu huanzia kwa taabia ya mtu binafsi (personal / individual ethics ).mfumo unafanya ku falicitate zoezi hilo.Lowasa hana uadilifu as an individual, ni ndoto kufikiria ataweka mfumo utakao simamia maadili mema.
ReplyDeleteKwa kweli huyu kijana polepole nilikuwa namsikia tu nimemuona hapa nimemkubali ni kijana smart hasa. Nafikri huyo mchungaji amejuta kwanini amemualika kwenye debate . Katika kipindi chote cha hii debate polepole ameonesha nidhamu ya hali ya juu amekaa kimya na kamsikiliza mpinzani wake kwa utulivu bila ya kumkatiza binafsi nimekerwa na huyo mchungaji kujaribu kumziba mdomo polepole ili asimalizie hoja zake inaonesha kabisa huyo mchungaji ameshindwa kabisa kihoja na ndugu polepole. Kwa kweli kijana kama polepole ni watu wa kuenziwa kabisa ni miongoni mwa vijana wanaoweza kuja kulisaidia taifa kiuongozi nathubutu kusema polepole ni hazina ya taifa one of the pure brilliant political rising star in our nation. Mchungaji msigwa umeshindwa kwa hoja na kiasi fulani umetusababishia kichefu Chefu tuliokuwa tunakuangalia.
ReplyDelete