· Wafanyakazi Kissa Pharmacy Ltd Pharmaceuticals Whole Sale And Retali Mbeya Tz wenye makao makuu jijini mbeya wakiserebuka katika sherehe ya wafanyakazi iliyoandaliwa na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Ndugu Gasper Kilango Singo kijijini kwao Mnazi Makanya Kilimanjaro Moshi
Ndugu na jamaa wa familia ya Kilango wakijumika pamoja katika sherehe hiyo.
Wazazi wa Mkurugenzi Kissa Pharmacy Ltd
Picha- Emanuel Madafa Jamiimojablog, Mbeya
No comments:
Post a Comment