Thursday, September 17, 2015

KWA KIFUPI HAPA NI KAZI TU!!!!


KUNA UVUMI UNAENDELEA MARA OOOH MRS MAGUFURI KAMTENGA MUMEWE,AJISHUGHURISHI NA SIASA NA MENGINE MENGI DSASA HEBU CHEKINI HIZI HARAKATI NA MTAFUTE KINGINE CHA KUMSINGIZIA!! KWA KIFUPI HAPA NI KAZI TU!!!!

2 comments:

  1. Ukawa uongo na uzushi ni mtaji wao mkubwa wa kampeni kwa sababu hawana sera

    ReplyDelete
  2. safiii mrs. barikiwa sana. ushindi ni wenu

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake