Wednesday, September 30, 2015

STAND UNITED YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA SIMBA

Beki wa Simba, Murshid Juuko akiwatoka wachezaji wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa leo. Simba imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)
Mshambuliaji wa Simba, Simon Sserunkuma akimtoka beki wa Stand United, Abuu Ubwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake