TAKWIMU...UTAFITI ULIOFANYWA NA BBC..
DAR ES SALAAM
lowassa 78%
Magufuli 20%
IRINGA
Lowassa 54%
Magufuli 43%
NJOMBE
Lowassa 48%
Magufuli 50%
RUVUMA
Lowassa 49%
Magufuli 50%
MWANZA
Lowassa 72%
Magufuli 34%
ARUSHA
Lowassa 80%
Magufuli 18%
MANYARA
Lowassa 65%
Magufuli 32%
KILIMANJARO
Lowassa 66%
Magufuli 30%
TANGA
Lowassa 28%
Magufuli 59%
MOROGORO
Lowassa 20%
Magufuli 79%
TABORA
Lowassa 46%
Magufuli 50%
KIGOMA
lowassa 40%
Magufuli 30%
MTWARA
Lowassa 68%
Magufuli 31%
14 comments:
Hapo hawajaweka Zanzibar, maana kule CCM wana wakati mgumu kwa ajili ya muungano na katiba yao ya zama za kale!
Mhhhhhh BBC hawajafanya hiyo kabisaa mtu kakaa chini kajitengenezea propaganda za kitoto. kama unabisha weka link ya hiyo takwimu haa
Yani mimi sielewi kwa nini wabongo tuna shida ya ubishi. Umeambiwa ni takwimu za BBC, halafu mtsalam mwingine anakanusha with no evidence ya ukanusho wake. Hata asiweze kwenda kwenye ofisi za bbc Dar au kupiga simu?
Inawezekana hafurahishwi na hizo figures kwa sababu moja au nyingine, but onyesha intellects unapotaka kupinga kitu ambacho source yake ni legitimate entity kama BBC.
Usidanganye wasomaji kwani BBC haijatoa takwimu za utafiti wowote kuhusu uchaguzi nchini. Pamoja na kusikiliza taarifa za habari na pia vipindi mbalimbali vinavyorushwa na BBC, na hata kusoma habari za mtandao wa BBC, swala la uchaguzi wa Tanzania hailijapewa kipaumbele na chombo hiki na wala halitajwi.
We need a source, mentioning BBC doesn't cut it, a link would have helped
Kwa hiyo in average ni kuwa Lowassa anaongoza katika mikoa hiyo 14 kwa asilimia 51% dhidi ya Magufuli ambapo atakuwa 49%.
Even Products from China are named originals where one need to buy a western made products. Tusiwashangae ndugu zetu wasanii hiyo ndo kazi yao kupika nambari. Mtu yeyote anaweza kusema chochote maana magazeti yetu hayajakua na kuweza kuandika habari ile tu waliyoifanyia uchunguzi na kuandika bila kuchagua upande wa story. Wacheni mbivu na mbichi zitaonekana October 25, 2015. Wanajua na matumbo moto sasa kwa kuwa matarajio bado yanazidi uhalisia wa matukio. Tukumbuke kuwa hatutegemei kuona au kusikia kuwa wanaanza kukubali kushindwa. Wanafikiri nini wakiona umati wa Dodoma? Wacha na magazeti yauzike maana ukiandika ukweli gazeti haliuziki na badala ya kusimamia taaluma ya uandishi gazeti linaweka maslahi ya kuuzika mbele ya kuuelimisha umma kimaadili. Inasikitisha sana Tanzania na watu wetu.
IWE BBC AU CNN AU MTU TU SHABIKI WA SIASA ALL IN ALL OCTOBER 26,,,,,,JESHI LITAKAPO CHUKUA NCHI,,,,,NI VIJIMAMBO TUUU VIDOGO VIDOGO,,,HATA HILI LITAPITA NA TUTABKI NA TANZANIA MOJA NA WATU WA MOJA.
HONGERA sana ukawa lowassa ushindi
Lowsssa noma
Kwanini wapinga maendeleo (CCM) wanakuwa wabishi na matokeo haya?
Kwa ajili CCM ni makini na wanaelewa mambo na hivyo hawafuati porojo na fikra duni za wapika majungu.
Propaganda za kitoto hii inaonyesha dhahiri jinsi gani lowasa alivoshindwa nguvu na magufuli kwenye ground na kukimbilia kwenye psychological war fair .Ukawa na lowasa msijidanye mnaweza kuishinda CCM kwa propanda za kisanii waelezeni watanzania mtawafanyia nini licha ya kuwa na mgombea asikubalika kutokana na kashfa za ufisadi.
Mtaisoma namba mwaka huu
Jiandaeni kuwa chama cha upinzani.
Post a Comment