Ndugu yetu Majid Zuberi anatuarifu Kisomo cha Hitima za Marehemu Mdogo Wake Abu Twalibu Zuberi Kajwangya Na Mama Mlezi Rehema Kajwangya misiba yote imetokea Kanyigo Bukoba.
Siku ya Jumamosi September 26, 2015
Kuanzia Saa Kumi na Mbili jioni hadi Saa Tatu usiku (6PM – 9PM)
Anuani:
Indian Spring Terrace Local Park
9717 Lawndale Dr.
Silver Spring, MD 20901
Kama Ilivyo ada, tunawaomba WaTanzania na Wana Jumuia wote wa hapa DMV tujumuike kwa Pamoja.
Ukipata Taarifa hii Tafadhali Mjulishe na Mwenzio.
Kwa Taarifa Zaidi Wasiliana na
Tunatanguliza Shukran.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake