Wednesday, September 30, 2015

UKODAK MOMENT

MR. Mhella kutoka New York akipata ukodak mbele ya kibao ya chuo kikuu cha Bath huko Uingereza, hiki ni chuo alichosomea mgombea urais Tanzania kupitia chadema kwa mwamvuri wa Ukawa Mzee Lowasa.

1 comment:

  1. Kumbe ndio maana umepotea. Habari za huko kwa Malkia? Maganiko

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake