MR. Mhella kutoka New York akipata ukodak mbele ya kibao ya chuo kikuu cha Bath huko Uingereza, hiki ni chuo alichosomea mgombea urais Tanzania kupitia chadema kwa mwamvuri wa Ukawa Mzee Lowasa.
1 comment:
Anonymous
said...
Kumbe ndio maana umepotea. Habari za huko kwa Malkia? Maganiko
1 comment:
Kumbe ndio maana umepotea. Habari za huko kwa Malkia? Maganiko
Post a Comment