ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 6, 2014

RAIS KIKWETE AELEKEA NCHINI MAREKANI LEO

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe said Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la ndege la Emirates katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw. Aboubakar Juma leo Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake
Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari polisi pamoja na wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014

6 comments:

Anonymous said...

Profesa JKM needs his private 747, ana safari nyingi mno.

What is wrong with Muhimbili au ni ya makachara tu hiyo.

Anonymous said...

hongera rais wetu kufikia ngazi ya uprofesa.. safari njema marekani mungu akujaalie upone upesi

Anonymous said...

original jk alikuwa na hizi credential zote tena za kitaaluma sio za kupewa kwa heshima lakini ulikuwa husikii mara doctor au profesa mhh bongo sasa na hizi safari nazo kwani alipokwenda marekani mwezi wa tisa si angechunguzwa hiyo afya yake wakati huo ili kuokoa hela za watanzania walipa kodi

Anonymous said...

Wewe anon 10:45 PM nani kakwambia kwamba rais mgonjwa? Au ndiyo wasaka tonge? Muheshimiwa anakuja kuchekiwa afya yake

Anonymous said...

mie nilidhani checkups ni annually yaani once a year!

Anonymous said...

hata kama sio mgonjwa, kwani hospitali za TZ haziwezi kumfanyia checke up?