|
Mheshimiwa Balozi Wilson Masilingi kwenye picha ya pamoja na watanzania washiriki mafunzo ya uimarishaji na
usimamizi wa miradi ya ushirikiano kwa njia ya Public Private Partneship hasa sekta ya nishati na madini walipofika kutembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC . |
Baadhi ya Washiriki wa semina kutoka wizara mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Mhe Balozi Wilson Masilingi alipokua akiwakaribisha na kutoa yake machache.
|
Pichani ni waandaaji wa semina hiyo waliokua wameongozana na wenyeji wao kuja kutembelea Ubalozi wa Tanzania Washington DC .
PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI. |
No comments:
Post a Comment