Tumepokea kwa msituko na huzuni kubwa habari ya kifo cha Mh Dr Abdallah Kigoda Mbunge wa Jimbo la Handeni na Waziri wa Viwanda na biashara kilichotokea leo Tunatopoa pole kwa familia yote Wananchi wa Jimbo la Handeni Na WaTanzania wote Tunamuomba MWENYE ENZI MUNGU AMWEKE MAHALI PEMA PEPONI. AMINA

Kwani waliko pichani ndio mfikwa? Hebubwekeni picha yake. Je kuna jopo la kwenda mazikoni tujumuike??
ReplyDeleteDr. Kigoda R.I.P.
ReplyDeleteMbona pichani watu wanafurahia msiba???
ReplyDeleteJamaa Mbarali Libe aache kuandika article za kujisifia na kuweka kwenye vijimambo. Ni masifa tu.
ReplyDelete