Monday, October 12, 2015

CHAMA CHA MAPINDUZI TAWI LA DMV MAREKANI

Tumepokea kwa msituko na huzuni kubwa habari ya kifo cha Mh Dr Abdallah Kigoda Mbunge wa Jimbo la Handeni na Waziri wa Viwanda na biashara kilichotokea leo Tunatopoa pole kwa familia yote Wananchi wa Jimbo la Handeni Na WaTanzania wote Tunamuomba MWENYE ENZI MUNGU AMWEKE MAHALI PEMA PEPONI. AMINA

4 comments:

  1. Kwani waliko pichani ndio mfikwa? Hebubwekeni picha yake. Je kuna jopo la kwenda mazikoni tujumuike??

    ReplyDelete
  2. Mbona pichani watu wanafurahia msiba???

    ReplyDelete
  3. Jamaa Mbarali Libe aache kuandika article za kujisifia na kuweka kwenye vijimambo. Ni masifa tu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake