Thursday, October 8, 2015

DR. SLAA AWALINGANISHA LOWASSA NA MAGUFULI-MSIKILIZE

3 comments:

  1. Haya ni maongezi yaliyopangwa kwa usahihi au la. Mbona Takukuru mheshimiwa kakubali bado rushwa ipo na wameshindwa kuikabili. Unapozungumzia Rushwa na ufisadi kwenye kampeni ! Mafisadi na watafunwa Rushwa wamo ndani ya Serikali iliyopo ndani ya mfumo!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Worry not, Magufuli anaenda kupambana nao,kuanzia tarehe 26/10/2015.

      Delete
  2. Mh Slaa unaposema Chama Changu!! Haileti ufasaha kwani pale Serena ulosema unajiondoa kwenye siasa na umeachana na Chadema. !! Vipi kama unayakubali mabadiliko rudi uombe masamaha sivyo kadi umerudisha!!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake