Wednesday, October 14, 2015

Kamanda Ras Makunja Akihojiwa na Radio Zenj FM kuhusu uchaguzi

Mwanamziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja mkuu kikosi cha Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni,amehojiwa na Radio Zenj Fm siku ya 8 Oktoba 2015
kuhusu mtazamo wa watanzania walio nje ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu.
msikilize katika audio

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake