Thursday, October 29, 2015

Kipindi cha Jukwaa Langu Okt 26 2015 (FULL) USIKOSE KILA SIKU YA JUMATATU KUANZIA SAA 11 MPAKA SAA 2 ET

Photo Credits: dw.com/sw

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Na leo, tulizungumzia Tanzania baada ya Uchaguzi wa jana Oktoba 25, 2015

2 comments:

  1. Vijimambo,siku hizi iko juuu,safi sanaaa.

    ReplyDelete
  2. Hiki kipindi safi ,sanaa.luke uko juuu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake