

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni leo Geita

Wazee wamsimika Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa Uchifu wa Wasukuma leo



No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake