Mgombea wa Rais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF anayeungwa
mkono na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Maalim Seif Sharif Hamad
akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake Mtendeni Zanzibar. (Picha na Talib Ussi)
Mohammed
Masoud rashid mgombea wa urais kupitia chama cha CHAUMA katikati ana
mwengine kushoto ni mgombea wa Urais kupitia chama cha DP Abdallah
Kombo Khamisi na kulia ni katibu Mkuu waDemocrasia Makini Ameir Hasani
Ameir wakizungumza na waandishi hapo katika hotel ya Grand Pelace
Zanzibar juu ya Mwenyekiti wa tume kufuta uchaguzi wa zanzibar vyama
hivyo vinawakilisha vyama vyengine vuitatu ambavyo Ni jahazi Asilia, SAU
na NRA.
Kamishina wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC, Ayoub Bakar akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika hoteli ya Manson. Kushoto ni Nasour Khamis.
No comments:
Post a Comment