ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 16, 2015

Skia hii kitu kutoka kwa Jenerali Ulimwengu na mchakato wa katiba 2011

3 comments:

Unknown said...
This comment has been removed by the author.
Unknown said...

M,buyuni Zanzibar ndipo yalipo makao makuu ya mwamsho. Na jua kali darajani mjini Zanzibar ni sehemu ya mkusanyiko wa watu wa mwamsho. Maeneo hayo kwa pamoja ni sehemu yenye matokeo ya machafuko ya mara kwa mara mjini Zanzibar. Ikimbukwe kiongozi wa mwamsho sheikh Farid anatokea katika maeneo hayo. Na ikumbukwe sheikh Farid alijiteka nyara yeye mwenyewe na kupotea kwa siku kadhaa ili kuwaaminisha wafuasi wake ya kuwa vyombo vya usalama ndivyo vilivyo mteka nyara. Na kweli kitendo hicho kilipelekea wafuasi wake kufanya fujo kubwa zilizosababisha upotevu wa mali na maisha ya watu. Mwamsho ni kundi ambalo huwezi kulitofautisha na kundi la Boko haram. Lengo lao kubwa lilikuwa ni kuwashawishi watu wasiitii serikali. Vilevile kuendesha campaign ya kuwagawa watu kutokana na mitizamo yao ya kisiasa, imani zao za dini na maeneo wanayotoka. Zaidi wakitumia udini kama njia yao kuu kuendesha propanda zao za chuki miongoni mwa wanzanzibar na watanzania kwa ujumla. Kama mtu muungano hautaki hakuna haja ya kuendesha mapambano na vyombo dola. Sio wanzanzibar wote wanaotaka muungano uvunjike kwa hivyo si busara kuwalazimisha . Mwamsho ni taasisi au tawi la chama cha CAFU. Lengo ni kuwagawa wanzanzibar kwa kujijenga kisiasa zaidi wakiamini kuitenganisha Zanzibar na Tanzania bara ni njia pekee rahisi kwa CAFU kuitawala Zanzibar. Kwa hivyo huu ni wakati wa campaigns za uchaguzi na cha kushangaza na aibu bila hata haya CAFU Zanzibar wameweka video za propaganda za mwamsho mitandaoni kuionesha dunia jinsi serikali ya Zanzibar inavyo nyanyasa watu wake lakini ukweli ni kwamba hizo ni propaganda za mwamsho na CAFU. Na kama vyombo vya dola vilikwenda katika maeneo yanayodaiwa watu hawakutendewa haki basi vilifanya hivyo kwenda kulinda usalama wa raia baada ya kufanyika vitendo vingi vya kigaidi vilivyokuwa vikiendeshwa na viongozi wa ugaidi waliokuwa wakiishii katika maeneo hayo. Sasa kama muungano hutaki inahusiana nini na dini kwa kweli Zanzibar amani ilipotea kabisa kutokana na vurugu za mwamsho na kama sio vyombo vyetu vya usalama kuwa imara nchini hivi sasa Zanzibar hali ingelikuwa nyengine kabisa na mbaya zaidi.

Anonymous said...

Honestly, hizi nafasi za wakuu wa wilaya hazina maana.Iwapo wako wakurugenzi wa wilaya ambao ndio watendaji,wakuu wa wilaya wanawajibu gani?