Monday, October 26, 2015

TUME YA UCHAGUZI YATOA MATOKEO YA AWALI KWA MAJIMBO MATATU YA UCHAGUZI KWA NGAZI YA URAIS

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza majimbo matatu ya awali ya uchaguzi leo katika Ukumbi wa Mwalimu nyerere ambayo ni Paje, Makunduchi pamoja na Lulindi















ENDELEA KUTUFUATILIA IFIKAPO SAA SITA MCHANA

4 comments:

  1. Haingii akilini magufuli ashinde Zanzibar dhizi ya Lowassa
    Mmetumia akili ile ile ya tume Zanzibar
    Mwaka hapatoshi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akili zetu zimeganda ,kama mlishindwa kuamini Lowasa ni fisadi hili ndio litaingia akilini.

      Delete
  2. Washabikia ufisadi mpo? Sijui mtaficha wapi nyuso zenu. Vijimambo niliwaambia mninukuu kuhusu ubabaishaji wa professor uchwara Boaz. Najua washabikia ufisadi watasema "it's still too early". Jueni kwamba this is an enduring trend! Pendeni nchi yenu; acheni kushabikia watu wasio waadilifu. Mbweha ni mbweha tu, haijalishi yuko pori gani. ENL alikuwa mbweha CCM na ataendelea kuwa mbweha huko UKAWA.

    ReplyDelete
  3. Dalili za mvua ni mawingu na mambo bado Ukawa watakuwa Ukiwa tu hivi karibuni baada ya mvua kuwanyeshea. Haya mwenzenu ambaye hakuwa na uchungu na chama chenu zaidi ya kutaka ngazi ya kuwania urais ameshasema akishindwa (tayari dalili za kushindwa zimeshaanza kujionyesha) atakwenda kwao kuchunga ng'ombe, je nyinyi wengine mna mpango gani?

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake