Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini BFT Wililo Lukelo akitoa salam za lambilambi kutoka kwa wadau wa mchezo wa masumbwi mbalimbali nchini wakati wa mazishi ya bondia Michael Yombayomba yaliyofanyika Kibaha mkoa wa Pwani jana Picha na SUPER D BOXING NEWS
Promota wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi akiwa akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Yombayomba kwa ajili ya kwenda kuzika mazishi yaliyofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani jana
WAOMBELEZAJI WAKIPELEKA JENEZA LA MArehemu kwenda kuzika
Mtoto wa marehemi Michael Yombayomba Zakaria Yombayomba akiwasha mshumaa katika kaburi la baBA YAKE JANA
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake