ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 14, 2015

Demokrasia Na Maendeleo, CHADEMA


Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Taifa Amesema wanaendelea Na Mchakato Ndani Ya Chama Na hivi Karibuni watamtangaza mgombea kiti Cha Uspika Wa bunge Kupitia Chama hicho.

No comments: