Thursday, November 12, 2015

DEOGRATIUS NGALAWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUDEWA KA TIKETI YA CCM

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM iliyofanyika leo tarehe 12 Novemba, 2015 chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete imemteua Ndugu Deogratius Ngalawa kuwa mgombea wake wa Ubunge katika Jimbo la Ludewa mkoani Njombe.

Ndugu Ngalawa ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ya Ubunge baada ya kushinda kura za maoni zilizofanyika Novemba 10, 2015.

1 comment:

  1. Hivi huyu Deo Ngalawa ni mtoto wa marehemu mwl Ngalawa (R.I.P) alikuwa na tuition pale Osterbay na kufundisha kisutu. naona ni yule Deo ninayemkumbuka hongera sana muheshimiwa mtarajiwa.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake