
Mhe. Magdalena Sakaya akijieleza na kumba kura

Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akijieleza na kuomba kura

Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akila kiapo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma leo bada ya kushinda nafasi ya Naibu Spika wa Bunge, kwa kura 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake Mhe. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%.
Picha na Sultani Kipingo wa Dodoma
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake