Sunday, November 22, 2015

HIKI NDICHO KILIMGUSA RAIS MAGUFULI NA KUAMUA KUTUMIA FEDHA ZA MCHAPALO ZA WABUNGE KUNUNUA VITANDA MOI

3 comments:

  1. Hii ni aibu kubwa sana kwa Tanzania khaaa,eh Mungu saidia hawa wagonjwa Jamani wanateseka sana,na wabunge na viongozi wengine wanaendesha mashangingi wakiugua wanakwenda kutibiwa nje ya nchi badala ya kuhimarisha vya nyumbani,mhhhhh so SAD kwakweli,baba magufuli tunakuombea Mungu uwezi kufanya mabadiliko,GOD BLESS TANZANIA

    ReplyDelete
  2. This is very sad! Bora tumepata Rais anaejali watu.

    ReplyDelete
  3. Huyu doctor ingekua marekani huwezi kutoa information za mtu. you will b sued.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake