Hii ni aibu kubwa sana kwa Tanzania khaaa,eh Mungu saidia hawa wagonjwa Jamani wanateseka sana,na wabunge na viongozi wengine wanaendesha mashangingi wakiugua wanakwenda kutibiwa nje ya nchi badala ya kuhimarisha vya nyumbani,mhhhhh so SAD kwakweli,baba magufuli tunakuombea Mungu uwezi kufanya mabadiliko,GOD BLESS TANZANIA

ReplyDeleteThis is very sad! Bora tumepata Rais anaejali watu.
ReplyDeleteHuyu doctor ingekua marekani huwezi kutoa information za mtu. you will b sued.
ReplyDelete