Wednesday, November 11, 2015

JITIRIRISHE NA HII BARUA


4 comments:

  1. wababaishaji wakubwa nyie mnaua watu kwa uzembe , wakati mnajua mashine zinaweza kufanyiwa matengenezo....

    ReplyDelete
  2. Baada ya Mh.Rais Magufuli kuona uzembe wenu mnaoufanya hapo hospitalini na kuwasimamisha kazi wahusika ndiyo mmeweza kutengeneza hizo mashine kwa haraka?Na bado mtaipata maana Mh. Magufuli hana mchezo na ana uchungu na nchi yake na watu wake.Kwahiyo watanzania amkeni sasa na mchape kazi na muache uzembe na mambo ya short cut.

    ReplyDelete
  3. Kila mbuzi anakula kwenye Kamba yake
    Kama rais alikuwa kika Leo majuuu si tule wapi

    Hata magufuli akija Na gea gani sisi ndo watendaji
    Kama hatulipwi vizuri
    Tutamtenda tu kisirisiri
    Yeye hajui machungu kwani kila kitu kipo mezani

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake