ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 11, 2015

JITIRIRISHE NA HII BARUA


4 comments:

Anonymous said...

wababaishaji wakubwa nyie mnaua watu kwa uzembe , wakati mnajua mashine zinaweza kufanyiwa matengenezo....

Anonymous said...

Hapa kazi tuu.

Anonymous said...

Baada ya Mh.Rais Magufuli kuona uzembe wenu mnaoufanya hapo hospitalini na kuwasimamisha kazi wahusika ndiyo mmeweza kutengeneza hizo mashine kwa haraka?Na bado mtaipata maana Mh. Magufuli hana mchezo na ana uchungu na nchi yake na watu wake.Kwahiyo watanzania amkeni sasa na mchape kazi na muache uzembe na mambo ya short cut.

Anonymous said...

Kila mbuzi anakula kwenye Kamba yake
Kama rais alikuwa kika Leo majuuu si tule wapi

Hata magufuli akija Na gea gani sisi ndo watendaji
Kama hatulipwi vizuri
Tutamtenda tu kisirisiri
Yeye hajui machungu kwani kila kitu kipo mezani