Katibu mkuu wa CCM Convention Club mwana Diaspora Masoud Maftah akiendesha kikako cha kwanza cha vijana ndani ya Hotel ya Ramada Dar-Es-Salaam. Maudhui ya kikao hicho ni kupanga mikakati ya jinsi ya kupata wana chama zaidi hili kukiimarisha chama na pia kuzungumzia tatizo la ajira kwa vijana.
Vijana na wanachama wakimsikiliza katibu wao Maftah


No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake